PICTURE The Modern Electric Train (SGR) ready for its regular tests in Dar es Salaam. The Tanzania
Railway Corporation (TRC) has started testing the SGR train from the Dar es Salaam region to the Coast region and will soon continue with the tests until the Morogoro region. The official transportation services are expected to start in July, 2024
PICHA Treni ya Umeme ya Kisasa ya ( SGR ) ikiwa tayari kwa majaribio yake ya kawaida Jijini Dar es Salaam . Shirika la Reli Tanzania ( TRC ) limeanza majaribio ya treni hiyo ya SGR kutoka mkoani Dar es Salaam hadi mkoani Pwani na hivi karibuni itaendelea na majaribio hayo mpaka mkoani Morogoro . Huduma rasmi za Usafiri huo zinatarajiwa kuanza mwezi wa Julai , 2024