NIJUZE MEDIA | Unlimited entertainment: HABARI NA MATUKIO

NIJUZE MEDIA | Unlimited entertainment

Ads 728x90

Showing posts with label HABARI NA MATUKIO. Show all posts
Showing posts with label HABARI NA MATUKIO. Show all posts
PICTURE The Modern Electric Train (SGR) ready for its regular tests in Dar es Salaam.  The Tanzania
March 04, 2024

PICTURE The Modern Electric Train (SGR) ready for its regular tests in Dar es Salaam.  The Tanzania


Railway Corporation (TRC) has started testing the SGR train from the Dar es Salaam region to the Coast region and will soon continue with the tests until the Morogoro region.  The official transportation services are expected to start in July, 2024

 


PICHA Treni ya Umeme ya Kisasa ya ( SGR ) ikiwa tayari kwa majaribio yake ya kawaida Jijini Dar es Salaam . Shirika la Reli Tanzania ( TRC ) limeanza majaribio ya treni hiyo ya SGR kutoka mkoani Dar es Salaam hadi mkoani Pwani na hivi karibuni itaendelea na majaribio hayo mpaka mkoani Morogoro . Huduma rasmi za Usafiri huo zinatarajiwa kuanza mwezi wa Julai , 2024




MWINYI WAS THE NATIONAL LIBRARY - @samia_suluhu_hassan
March 02, 2024



MWINYI WAS THE NATIONAL LIBRARY - @samia_suluhu_hassan

The President of the United Republic of Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan has said that Alhaj Ali Hassan Mwinyi and the National Library will continue to be remembered not only in Tanzania but also in other countries.  He said that there has been a saying "Mbuyu has fallen, and if you don't know the meaning of Mbuyu has fallen, then go find it and you will understand".

The late Alhaj Ali Hassan is being buried today in his village Mangapwani North Region North District B Unguja



Tanzania All Star - Amina ( Ali Hassan Mwinyi)
March 02, 2024

 


New songs of mourning for the tragedy of Ali Hassan Mwinyi, the number of artists present in this song

Diamond Platnumz, Mbosso, Smile The Genius, Rico Single,Zuchu,Rayvanny,Siti Amina,Abramy,Jay Melody,Lavalava,D Voice,Jux,Darassa,Baby J,Alpha,G Nako,Billnass,Barnaba,Chaby Six,Mrisho Mpoto,

Play below to listen to this song


WCB PROVIDE CLARIFICATION ABOUT  DIAMOND PLATNUMZ GUARD TO BE CLAIMED  ATTACKING THE JOURNALIST
March 02, 2024



 WCB PROVIDE CLARIFICATION ABOUT
 DIAMOND GUARD TO BE CLAIMED
 ATTACKING THE JOURNALIST

 From the management of Wasafi music label (WCB) owned by Bongo Fleva artist Diamond Platnumz they have released this information

 EXPLANATION OF ALLEGATIONS OF ASSAULT

 WCB Wasafi Label Management wishes to provide clarification to the public on the information being circulated regarding the personal bodyguard of Masani Nasibu Abdul Juma Issaack aka Diamond Platnumz.  The bodyguard of the artist is linked to attacking the writer of Bongo Star Media TV after the Night Concert on 02/24/2024 in Zanzibar.

 The management would like to inform the public that the information is not true and has the tendency to mislead and instill hatred.  The truth of this matter is that the reporter crossed the limits of the law to get information by trying to force him to go and record the artists Diamond and Zuchu in the area of ​​the hotel where journalists are not allowed to enter but only for the residents of the hotel.  The security guard and his colleagues used methods that respect and protect the rights of journalists in preventing him.

 Even the video that is being circulated does not show the reporter being attacked, it only shows him being restrained and then the video is interrupted and it appears that he is on the ground.  Due to the number of journalists present, we believe that a video showing the journalist being attacked would not be missing.  The way this event is spread and talked about leads us to believe that there are signs of wanting to defame the Director and Artist of the Wasafi label.

 The management would like to inform you that despite Diamond Platnumz being a musician, he is also
 a major investor in the information sector.  And he has been working closely with all media stakeholders in the country.  So not only him but even his assistants and his entire line recognizes, respects and protects the rights of journalists.

 We call on the media to follow the boundaries of work and laws enacted in respect of dignity, privacy rights and humanity.  Also avoid making false news that can bring hatred and harm the reputation, respect of the industry and the journalists themselves.

 Also, the management would like to thank all the writers who participated in the success of the artist Zuchu's concert held at the beaches of Kendwa Rocks on the island of Zanzibar on 24.02.2024.  The WCB Wasafi label appreciates the input of journalists and will continue to work with

 all journalists closely and for the benefit of all parties.  We appreciate your understanding and apologize for the inconvenience caused.
 Issued by:
 WCB WASAFI LABEL LEADERSHIP”.


🇹🇿SWAHILI

 WCB WATOA UFAFANUZI KUHUSU 
MLINZI WA DIAMOND KUDAIWA 
KUMSHAMBULIA MWANDISHI WA HABARI

Kutoka kwenye uongozi wa lebo ya muziki ya Wasafi (WCB) inayomilikiwa na msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz wametoa taarifa hii 

UFAFANUZI WA TUHUMA ZA SHAMBULIZI

Menejimenti ya Lebo ya WCB Wasafi inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma juu ya taarifa zinazosambazwa kuhusiana na mlinzi binafsi wa Msanii Nasibu Abdul Juma Issaack almaarufu kama Diamond Platnumz. Mlinzi wa msanii anahusishwa na kumshambulia mwandishi wa Bongo Star Media TV baada ya Tamasha Usiku wa tarehe 24/02/2024 kisiwani Zanzibar.

Menejimenti inapenda kuujulisha umma ya kuwa taarifa hizo sio za kweli na zenye miengo wa kupotosha na kupandikiza chuki. Ukweli wa jambo hili ni kwamba, mwandishi huyo alivuka mipaka ya sheria za kupata habari kwakujaribu kulazimisha kwenda kuwarekodi wasanii Diamond na Zuchu katika eneo la hoteli ambalo waandishi wa habari hawaruhusiwi kuingia bali kwa wakazi wa hoteli hiyo pekee. Mlinzi tajwa na wenzie walitumia njia zinazoheshimu na kulinda haki za waandishi wa habari katika kumzuia.

Hata video inayosambazwa haioneshi mwandishi huyo akishambuliwa, baii inaonesha tu akizuiliwa na kisha video kukatishwa na kuonekana yuko chini. Kutokana na wingi wa waandishi wa Habari waliokuwepo, tunaamini isingekosekana video inayoonesha mwandishi huyo akishambuliwa. Kwa jinsi tukio hili linavyosambazwa na kuongelewa inatupelekea kuamini kwamba kuna viashiria vya kutaka kumchafua Mkurugenzi na Msanii wa lebo ya Wasafi.

Menejimenti ingependa kuwataarifu ya kuwa licha ya Diamond Platnumz kuwa Mwanamuziki lakini pia ni
muwekezaji mkubwa katika sekta ya habari. Na amekuwa akifanya kazi kwa ukaribu na wadau wote wa habari nchini. Hivyo si yeye tu bali hata wasaidizi na safu yake nzima inatambua, inaheshimu na kulinda haki za waandishi wa habari.

Tunatoa wito kwa vyombo vya habari kufuata mipaka ya kazi na sheria zilizotungwa katika kuheshimu utu, haki za faragha na ubinadamu. Pia kuepuka kutengeneza habari za uongo ambazo zinaweza kuleta chuki na kudhuru sifa, heshima ya tasnia na wanahabari wenyewe.

Pia, menejimenti ingependa kuwashukuru waandishi wote walioshiriki katika kufanikisha tamasha la msanii Zuchu iliyofanyika katika fukwe za Kendwa Rocks Kisiwani Zanzibar tarehe 24.02.2024. Lebo ya WCB Wasafi inathamini mchango wa waandishi wa habari na itaendelea kufanya kazi na

waandishi wa habari wote kwa ukaribu na kwa manufaa ya pande zote. Tunashukuru kwa uelewa wenu na tunawaomba radhi kwa usumbufu uliotokea.
Imetolewa na:
UONGOZI WA LEBO YA WCB WASAFI".

#NijuzeMedia


The second-term president of Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, has passed away
March 01, 2024


 If i was to write, i would finish a book just to explain how it feels to loose someone who has always been there and supported all your movements and struggles.


Your legacy of wisdom, compassion and leadership will continue to inspire generations.

Ali Hassan Mwinyi died at the age of 98. The announcement of his death was made by President Samia Suluhu Hassan

🇹🇿swahili

Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi.

Ali Hassan Mwinyi afariki dunia akiwa na umri wa miaka 98. Tangazo la kifo chake zimetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan


South African police said on Tuesday they have arrested six people over the murder last year of one of the rappers, Kiernan Forbes, known as AKA
February 29, 2024


SHUKA CHINI KIDOGO KUSOMA POST IIH KWA KISWAHILI 🇹🇿

ENGLISH
>>>

The South African Police Force Arrested Six (6) Suspects In The Murder Of The Rapper AKA (Kiernan Forbes) Who Was Shot Dead On Feb 10 Last Year 2023 While He Was Outside The Wish On Florida Restaurant, Durban (S.A)


 Durban State Police Commissioner Nhlanhla Mkhwanazi has told reporters that out of the 6 suspects, two had guns, two planned the murder, but also another person who allegedly owned a weapon and a car that was supposed to take them to carry out the murder and disappeared


 The other two have been arrested in the neighboring country of Eswatini where they have also been linked to several other murders that occurred in the past.

 With the help of the International Police (Interpol) and Eswatini, the South African Police were able to arrest the two suspects who were hiding in the neighboring country of Eswatini.  And plans to bring them back to South Africa to bring them to court are still ongoing


 It has been made clear that AKA was following him from the time he landed at Durban Airport to the restaurant where the murder took place.  Even so, the police did not clarify the main reason for carrying out the murder due to the fact that the investigation of the murder is still ongoing.


 South Africa is said to be one of the countries with the most murder cases in the world, especially involving artists.  One Of Those Events Is Of The Artist Lucky Dube Who Was Shot 3 In The Chest In An Event That The Police Say Was An Attempted Car Theft In 2007



🇹🇿KISWAHILI

>>>

Jeshi La Polisi Afrika Kusini Limewakamata Watuhumiwa Sita (6) Wa Mauaji Ya Rapa AKA (Kiernan Forbes) Aliyeuawa Kwa Risasi Feb 10 Mwaka Jana 2023 Wakati Akiwa Nje Ya Mgahawa Wa Wish On Florida, Durban (S.A) 


Kamishna Wa Polisi Jimbo La Durban Nhlanhla Mkhwanazi Amewaambia Waandishi Kwamba Kati Ya Watuhumiwa Hao 6, Wawili Walikuwa Na Bunduki, Wawili Walipanga Njama Ya Mauaji, Lakini Pia Na Mtu Mwingine Ambaye Anadaiwa Kumiliki Silaha Na Gari Lililodaiwa Kuwapeleka Kutekeleza Mauaji Hayo Na Kutoweka 


Wengine Wawili Wameshikwa Nchi Ya Jirani Ya Eswatini Ambapo Pia Wamehusishwa Na Mauaji Mengine Kadhaa Yaliyotokea Siku Za Nyuma. 

Kwa Msaada Wa Polisi Wa Kimataifa (Interpol) Na Eswatini, Polisi Wa Afrika Kusini Waliweza Kuwakamata Watuhumiwa Hao Wawili Waliokuwa Wakijificha Huko Nchi Ya Jirani Ya Eswatini. Na Mipango Ya Kuwarejesha Afrika Kusini iliwafikishwe Mahakamani Bado Inaendelea 


Imewekwa Wazi Kwamba AKA Alikuwa Akifuatilia Tangu Alivyotua Katika Uwanja Wa Ndege Durban Mpaka Katika Mgahawa Ambao Mauaji Hayo Yalifanyika. Hata Hivyo Polisi Hawakuweka Wazi Sababu Kuu Ya Kutekeleza Mauaji Hayo Kutokana Na Upelelezi Wa Mauaji Hayo Bado Unaendelea 


Afrika Kusini Inatajwa Kuwa Moja Kati Ya Nchi Zenye Matukio Mengi Ya Mauaji Duniani Hususan Yanayohusu Wasanii. Moja Kati Ya Matukio Hayo Ni La Msanii Lucky Dube Ambaye Alipigwa Risasi 3 Kifuani katika Tukio Ambao Polisi Wanataj Kuwa lilikuwa Jaribio La Wizi Wa Gari 2007


 ✍:#NIJUZEMEDIA

Ads 728x90